Mohochi, Sangai E.
(Egerton University, 1995)
Tasnifu hii imejishughulisha na uhakiki wa fani katika hadithi fupi za Kiswahili ikiwa na lengo la kudhih;risha kuwa aiwa hii ya sanaa ni utanzu mahsusi wa fasihi wenye kaida mbalimbali zinazoongoza ijenzi wa fani yake ...